ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 2, 2015

MOHAMMED DEWJI - KEYNOTE SPEAKER, DICOTA 2016 CONVENTION

Diasporans and friends of Tanzania!
Have you saved the date?
2016 DICOTA Convention - April 28-May 1st 2016, in Dallas?

Mohammed Dewji, Tanzania's businessman and philanthropist who was just named Forbes' Africa Person of the Year, will be our Keynote Speaker!

Get your seats while you can (www.dicotaus.org). More speakers to be announced soon, not to mention the all inclusive business meetings, networking and entertainment package!

11 comments:

Anonymous said...

Watu wanawekwa forbes wanakutwa hawalipi kodi wanapitisha makontena ya magendo. Tabia za kupapatikia hawa watu tuache

Anonymous said...

Anonymous said...
Watu wanawekwa forbes wanakutwa hawalipi kodi wanapitisha makontena ya magendo. Tabia za kupapatikia hawa watu tuache

WEWE ULIYEKOMENTI HAPO JUU UNACHUKI ZAKO BINASI. ACHA VIJIBA VYA ROHO KAMA MWANAMKE ASIYE NA MUME.

Anonymous said...

Kama kuna Ukweli ndani yake kwa nini asielimishe jamii. Si vema kujaza watu ujinga.Ni vema kufuta ujinga, wachache
Wanakula dezo ya serekali kinyemela kinyume na sheria halafu wanapewa sifa kemkem na vyombo vya habari visivyojua au visivyo na haja ya kutaka kujua undani wa jambo.Sio wote mafala kihivyo kama mnavotaka iwe ili muendelee kuchota.Za mwizi 40 iko siku Ukweli utajulikana na haki itatendeka. Nani asiyejua mwandishi wa Forbes Kenya ni rafiki wa kaka yetu na hutembelea helikopta yake. Hapa ni kuelimishana sio kuyell.Stop yelling. Call a spade a spade period

Anonymous said...

Ukweli unaumiza!!

Anonymous said...

Kwa maana hiyo Forbes haina Mpango vilevile. Msitishike kwa Forbes kwani ni jarida tu na haina maana kuwemo Forbes wewe ni malaika usiye na mazabe.

Anonymous said...

Kwa nini tusiwe wastaarabu jamani. Mtu akitoa comment kuna haja gani ya kumdhihaki au kumtukana?? Nyie acheni uswahili wenu. You can agree or disagree in a civil way... Mabadiliko ya ubongo kidogo yanahitajika hapa. Na utashangaa huyu #2 aliye comment atakuwa ni msomi.....!!!

Anonymous said...

Watu wanawekwa forbes wanakutwa hawalipi kodi wanapitisha makontena ya magendo. Tabia za kupapatikia hawa watu tuache

WEWE ULIYEKOMENTI HAPO JUU UNACHUKI ZAKO BINASI. ACHA VIJIBA VYA ROHO KAMA MWANAMKE ASIYE NA MUME.

NI BINAFSI SIO BINASI JIFUNZE KUANDIKA KABLA YA KUWEWESEKA KUPAPATIKIA WAHINDI.

Anonymous said...

Kwani uongo. Umeongea ukweli kabisa na ukweli unawauma. Wanajifanya matajiri kumbe utskillelse mbuzi tu hawa. Kazi magendo magendo ya ukwepaji kodi. Alafu maisha yanakuwa yamekula kwao. Na hao TRA kutwa kukimbizana na vijikodi vya kina mama ntilie vijidagaaa. Na kuyachaa haya mapapa. Lazima mi nchi yetu ya kiafrika ichoke na udhalaulika kwa mtindo huu

Anonymous said...

Kodi kalipa ?

Anonymous said...

Mdau wa pili nahisi jina lako Juma

Anonymous said...

Simnaona Fimbo imeanza kumchapa mmoja baada ya mwingine Magufuli oyeeeeee! Chamoto watakiona mbona bado wapo wengi hao jamani sisi yetu macho tukae mkao WAkula Tu!