ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 2, 2015

MRI na CIT SCAN Vyaanza Kufanya Kazi Muhimbili

1 comment:

Anonymous said...

Tanzania bado ina matatizo mengi siyo CT-Scan na MRI tu, bado hakuna madaktari wa kutosha wanaojali taaluma zao, tatizo la misdiagnosis, medical malpractice na mambo mengi....sisi tunafurahi hayo mawili hatujiulizi kwanini hizi mashine zinaharibika kila mara, je tatizo ni nini? Je kuna wataalamu wazuri wa kuzitumia hizo mashine? Hilo tatizo bado sana wala tusijidanganye? Tunayo matatizo million kwenye wizara ya afya, kuanzia watendaji,madaktari hadi wauguzi.