ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 12, 2015

TANGAZO


UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, 

WASHINGTON, D.C.

TANGAZO

Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi anawakaribisha Watanzania wote na Wamarekani wenye asili ya Kitanzania kwenye mkutano mfupi wa kufahamiana utakaofanyika tarehe 12 Desemba, 2015.

Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Tabeer uliopo 1401 University Boulevard, Hyattsville Maryland 20783, kuanzia saa tisa hadi saa kumi na moja jioni (3:00pm – 5:00pm).

Wote mnakaribishwa, na tafadhali zingatieni muda.

3 comments:

Anonymous said...

Are you serious! You give us a day notice of invitation. Probably mheshimiwa alikuwa anamaanisha watanzania wote wa DC.

Anonymous said...

we kilaza ni nini tangazo liko toka siku kumi zilizopita!!!! labda wewe si msomaji wa blog. ukawa utawajua tu kwa kulalamika

Anonymous said...

Hapa hakuna cha ukawa wala ukawia hili tangazo lilitoka wiki mbili zilizopita. tusiwekeane lawama umelijua leo nenda ulilijua jana juzi nenda kajumuike hatuna muda wa kupoteza. Mdau unapodai Ukawa sidhani kama kuna usahihi hili sio jambo la siasa na huu mkutano na Balozi sio wa Uccm wala Ukawa tuacheni maneno!!