Katika hali nyingine isiyokua ya kawaida, Waziri Mkuu Mh. K. Majaliwa amegundua upotevu wa makontena zaidi ya 2400 bandarini Dar-es Salaam na kutaka majibu ya kina leo jioni. Hali hii ni ya kusikitisha na kushangaza na inaashiria mambo mengine makubwa ya Ubadhirifu na Ufisadi wa kupindukia utakaokuja gundulika hivi karibuni. Tuzidi tega macho na masikio!



4 comments:
Fukuza viongizi wote wa bandari... Pia hakikisha una abgalia account zao wote na chunguza nyumba zao. Tatizo police nao wanahusika hivyo kuna ugumu kidogo. Nimefanya kazi za bandari hivyo najua wizi wa bandari ulivyo. Nilifanya kazi ya iliyikuwa inaitwa cotecna inspection....hivyo nilijionea madudu. ...
Msoga hiyo
Naomba nimwulize mwandishi wa habari hii
"Ubadhirifu" na " Ubadhilifu" lipi neno sahihi, au yote sawa?
Wabeba mabox tulikuwa tunabezwa Mh yangu macho maana HAPA KAZI TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
Post a Comment