Usiku wa African Entertainment ulioandaliwa na Chima Movie Empire uliofanyika siku ya Jumamosi January 16, 2016 jijini Baltimore, Maryland.
Miss Tanzania USA akifanyiwa mahojiano.
Miss Tanzania Aeesha Kamara (kati) akiwa katika picha na walimbwende wa mitindo.
Miss Tanzania USA Aeesha kamara akiwa katika picha na Mr. Chima,
Ma Winny Casey mratibu wa miss Tanzania USA katika picha ya pamoja na Bwn. Chima
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake