Saturday, January 23, 2016

PICHA TOKA KWA WADAU TUFANI YA THELUJI DMV


Hivi ndivyo inavyoonekana Maoeneo ya Silver Spring Manchester Place leo Jumamosi January 23, 2016 theluji inchi 30 

Mdau Mude akipata uzoefu wa theluji.

Mdau Makeo akifanya yake.

Hapa ni Mclean Virginia picha kutoka kwa mdau Marwa.

Mdau kama unapicha za snow unaweza kuturushia kupitia barua pepe djlukejoe@gmail.com

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake