tunauza mashine ya kuvunia nafaka tofauti (COMBINE HARVESTER) ipo imara sana na inafaa sana kwa mazingira ya hapa kwetu inaweza kuishi mda mrefu na ni simple sana kuifanyia matengenezo pindi inapo haribika... tumeileta kutoka Denmark na haijatumika hapa Tanzania.. bei ni harisi sana kwani ukivuna msimu moja tu kwa kiasi cha ekari 350 utakua umerejesha hiyo hela,,kama ni mkulima ikikupita hii utakuja kuikumbuka kwani ni moja ya zana chache hapa nyumbani Tanzania..
mashine ipo MBWENI Daresalaam
BEI NI MIL..34 TSH
tuwasiliane 0714242879,, 0713676035 au binjaba5000@hotmail.com
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake