Sunday, January 24, 2016

DK.REGNALD MENGI ASHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA NA WATU WENYE ULEMAVU UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE DAR ES SALAAM LEO

 Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Ltd, Dk. Regnald Mengi (kushoto), akizungumza na Cosmas Anthony ambaye ni mlemavu wa miguu kwenye tafrija ya chakula cha mchana aliyoiandaa maalumu kwa watu wenye ulemavu iliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam leo mchana.
 Mwanamuziki wa kizazi kipya, Beny Paul (kulia), akipagawasha kwenye tafrija ya chakula cha mchana maalumu kwa watu wenye ulemavu iliyoandaliwa na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Ltd, Dk. Regnald Mengi Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam leo.
 Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Ltd, Dk. Regnald Mengi akitoa hutuba fupi kwenye tafrija hiyo.
 Wafanyakazi wa IPP waliokuwa wakitoa huduma mbalimbali katika tafrija hiyo.
  Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Ltd, Dk. Regnald Mengi, akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (Shivawata), Ummy Hamisi kwenye tafrija hiyo.
 Dk.Mengi akimpa chakula mmoja wa walemavu aliyehudhuria hafla hiyo.
 Dk.Mengi akimpa chakula mmoja wa walemavu aliyehudhuria hafla hiyo.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye tafrija hiyo.
 Wadau mbalimbali wakiwa kwenye tafrija hiyo.
 Tafrija ikiendelea.
 NI furaha tu katika tafrija hiyo watu wamekula na kunywa.

 Dk.Mengi akiteta jambo na mtoto mwenye ulemavu Roida Undule.
 Dk.Mengi akisalimiana akina mama waliohudhuria hafla hiyo.
 Wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla hiyo.
Mchungaji Alphonce Temba akiomba kabla ya kuanza kwa tafrija hiyo.

2 comments:

  1. I salute Mr Mengi kwakweli,hana tofauti na Bill Gates,Mungu aendelee kukubariki

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake