Sunday, January 24, 2016

PICHA ZA THELUJI KUTOKA KWA MDAU WINCHESTER, VIRGINIA

Mdau Alan Kilevo akijaribu kuizoea theluji iliyoanguka usiku wa kuamkia Jumamosi Januari 23, 2016 akiwa nyumbani kwake Winchester Virginia.
Theluji kama inavyoonekana kutoka Winchester, Virginia.
Picha nyingine kwenye maegesho ya magari Winchester, Virginia.
Picha ya ikionyesha theluji ilivyojazama mpaka mlangoni.

Tutumia picha za snow kupitia djlukejoe@gmail.com au whatsup 301 661 6696

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake