Sunday, January 10, 2016

FINANCIAL FITNESS CAMP ILIYOFANYIKA JANA JANUARY 9, 2016


 Camp iliyofanyika jana January 9, 2016, iliyoandaliwa na Seruwage Consulting and CPAs  na kushirikisha America Classic Agency, ilizungumzia mambo mbali mbali ikiwemo, Retirement plans na jinsi ya kujiandaa na kujipanga, pia ilizungumzia maswala ya Education funds kwa watoto, Life Insurance. 
Camp hiyo pia ilionyesha nyia mbali mbali kwa wanaotaka kujiunga ili kuweza kutoa huduma za Bima na pia kuwa Financials advisors. Kama una swali pia 301-613-5165.
                                                  Mr. Iddi Sandaly, CPA, Akielezea jambo.
                                                    Mr. Vincent Mongare, akielezea jambo.



 



No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake