Mwimbaji mkongwe wa Gospel kutoka Tanzania Upendo Kilahiro jumapili ya tarehe 10 January 2016 atakuwa Washington DC katika kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministries(405 Riggs Rd NE, Washington DC 20011) kwa ajili ya uinjilist kwa njia ya nyimbo, mwimbaji huyo ambae si mara yake ya kwanza kuhudumu katika kanisa hilo atakuwa hapo kwa mwaliko wa wenyeji wake hao.
Waimbaji wengine watakao shirikiana na Upendo Kilahiro ni wenyeji The Sound of Glory Singers kutoka kanisa hilo. Wote mnakaribishwa.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake