Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika ana, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi ya Kinondoni, Dar es Salaam. (Picha zote na Bashir Nkoromo-theNkoromo Blog)
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika leo, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika leo, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimpongeza baada ya kumhudhurisha Shahada ya heshima ya Udaktari ya Uhusiano wa Kimataifa, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya 30 ya Chuo hicho, yaliyofanyika leo, Alhamisi, Januari 21, 2016, Kampasi ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Dk. Kikwete akishukuru
Dk. Kikwete akingoka baada ya kuhudhurishwa
Dk. Kikwete akiwa na Rais wa Chuo Kikuu cha Choson cha Korea, Profesa Such Chae Hong, ambaye naye pia alitunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari katika Mahahali hayo
Dk. Kikwete na Profesa Such wakiwa wamesimama kuimba wimbo wa Taifa baada ya kutunukiwa Shahada zao za Udaktari. Kulia ni Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha-Rose Migiro
Dk. Kikwete na Profesa Such na Mama Salma Kikwete wakiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Asha-Rose Migiro
Dk. Kikwete na Profesa Such wakiwa Dk. Asha-Rose Migiro na viongozi wengie wa Chuo Kikuu Huria. Karibu na Dk. Migiro ni Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi
Dk. Kikwete na Profesa Such wakiwa na Mama salma Kiwete na Dk. Asha-Rose Migiro na baadhi ya viongozi wa OUT
Mama Salma Kikwete akiteta jambo na Dk. Asha-Rose Migiro
Dk. Jakaya Kikwete akimpongeza mmoja wa wahitimu katika chuo hicho mwenye ulemavu wa miguu.
Dk. Jakaya Kikwete akimdodosa maswali, mtoto Novatus Salala (11), ambaye alimuona akimpiga picha kwa simu wakati wa mahafali hayo. Kulia ni Mama Salma Kikwete
Dk. Jakaya Kikwete akiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu huria w zamani, Dk. John Malecela na Mkuu wa sasa wa Chuo hicho, Dk. Asha-Rose Migiri wakati akiondoka mwishoni mwa hafla hiyo. (Picha zote na Bashir Nkoromo). PICHA ZAIDI>BOFYA HAPA
Hizo shahada anazopewa bure za kazi gani? Alipaswa kwenda shule kama wengine,siyo kujipachika vyeo visivyo na uhalali. Nchi yetu ndiyo maana inaongoza kwa madaktari na maprofesa feki (waganga wa kienyeji, wachawi na maprofesa wa mazingaombwe) kwa sababu wanaofanya hivyo wanaona mifano isiyo sahihi.
ReplyDeleteHehehee mdau wala hujakosea mpaka nimecheka kweli. Vituko havishi Afrika. Only in Afrika
DeleteMdau wa mwanzo kula tano lol.umemaliza kila kitu. Yaani ni umeongea ukweli mtupu. Sijui wanasomaga hizi komment.
DeleteNaanza kuamini huyu jamaa siyo mzima.Mwambieni aje huku Ukraine tumpe PhD ya kuzurula pia.Kweli waswahili bado sana..
ReplyDeleteVituko....eti amemuwa chancellor wa chuo kikuu....sasa atawafunfisha wengine nini? Au safari za nje ya nchi kwa kutumia ndege ya rais wakati yeye amestaafu?...
ReplyDeleteBongoland bwana, unafiki mkubwa tu huo. He presided a rotten government now Phds every where?
ReplyDeletePhd ya kuwapa vyeo mafisadi.
ReplyDeleteI feel sorry for Magufuli, he has to clean up all!
Msemaji # 1 na wanamazingaombwe tena? Hiyo kaliiii!!
ReplyDeleteUmeniumiza mbavu!
Hawa wanacheza na akili ya magufuli atawaumbua sana hapo anataka ili muradi asafiri inje ya inchi du.
ReplyDelete