Familia za Ketang'enyi na Musika za DMV na Dallas, tunapenda kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki katika misa maalum ya kumbukumbu ya mpendwa Mama yetu, Dada yetu na Bibi yetu, Bettisheba Pole Ketang’enyi ambaye aliitwa na Bwana katika nyumba yake ya milele tarehe 30 Septemba, 2015.
Misa itafanyika siku ya tarehe 9 Januari, 2016 kuanzia saa 6 mchana katika kanisa la katoliki la St. Edwards, 901 Poplar GroveStreet, Baltimore, MD 21216.
Date: 9th January, 2016
Time: 12:00pm EDT
Name/Address: St Edwards
901 Poplar Grove Street,
Baltimore, MD 21216
Familia itajumuika kwa chakula na vinywaji mara baada ya misa, hapo hapo kanisani.
Wote mnakaribishwa.
Kwa mawasiliano:
Fredrick Ketangenyi: (267) 207-9488
David Musika: (571) 332-7224
Rosie Wassira: (240) 408-2692
Felicia Bhoke Simms: (240) 608-8686
Neema Musika: (571) 991-9819
Daima nitakukumbuka mama mkubwa. Upumzike kwa Amani
ReplyDeleteRIP Mama Ketang'enyi pumzika kwa amani!!Ameen
ReplyDeleteImetosha sasa! toeni hii picha mwacheni apumzike nimechoka kuona hii picha dah!
ReplyDelete