Saturday, January 9, 2016

PROJECT YA UDC ILIYOKUWA CHINI YA T.E.S UKINGONI KUKAMILIKA




 Machine hii  ya kukaushia samaki na matunda imefungwa kwenye shamba la University of District of Columbia lililoko Beltville. MD. Ndani ya shamba hilo kuna limwa matunda, mboga mboga na ufugwa samaki aina ya Tilapia.
 Hapa ni Dr Temba, Engineer na Designer wa machine hiyo akitoa maelezo ya jinsi itakavyo fanya kazi kwa njia ya two faces, inaweza kutumia umeme pamoja na gas. kwenye mazingira yasiyo fikwa na umeme.

Machine kwa nyumba unaweza kuona motor na gas bunner 
William Manager project akitoa maelezo  kwa wageni waliotembelea kuiona faida ya machine hii kwa wanafunzi wa chuo hicho cha UDC.
Ukitaka kujua zaidi juu ya mashine hii unaweza kuwasilia na Dr Temba kupitia simu yake ya kiganyani #+1(347)743-8660

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake