Heriet Tarazo anapenda kuwajulisha na kuwakaribisha na hatimae kujumuika nae katika misa ya kumwombea mpendwa kaka yake Steven Tarazo (pichani) itakayofanyika siku ya Jumapili Januari 10, 2016 kuanzia saa 8:30 mchana (2:30 pm) katika kanisa la Good Samaritan Lutheran Church anuani ni 10110 Greenbelt Rd,
Lanham, MD 20706
Kwa maelezo zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na
Heriet Tarazo 240-355-5158
.Shemsha 301-509-3186
.Lydia 301-385-6123.
Debora 202-302-4642.
Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwenzio
Bwana ametoa, Bawana ametwaa na jina lake lihimidiwe.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake