Habari njema kwa wakazi Marekani Kilimanjaro Studio kwa kushirikiana na All Africka Travel and Logistics,llc inakuletea offer maalum kwa ajili ya sikuu ya Christmas na mwaka mpya. TUMA PIPA TANZANIA KWA BEI YA DOLA 180 BADALA YA DOLA 250 piga simu 301 335 6383
na wewe utakua umejishindia offer hiyo kama upo nje ya DMV inakubidi usafirishe PIPA lako(kama linavyoonekana hapo juu) kwa gharama zako mwenyewe mpaka kwenye kituo husika na kuanzia pale PIPA lako litasafirishwa kwa bei ya Dola 180 badala ya Dola 250 au walio nje ya DMV piga simu 240 552 4870 na utapewa jinsi gani ya kuusafirisha mzigo wako kwa bei nafuu hadi DMV.
KUMBUKA Mapipa yatakayosafirishwa ni ya vitu vingine vyote isipokua VIPODOZI. OFFER HII MWISHO NI JANUARY 13, 2016
KUMBUKA Mapipa yatakayosafirishwa ni ya vitu vingine vyote isipokua VIPODOZI. OFFER HII MWISHO NI JANUARY 13, 2016
Hiyo poa tutawafuta hivi karibuni nina .mzigo wangu.
ReplyDelete$180 inakuwa pamoja na ushuru Tanzania au?
ReplyDeletendio mtoa maoni wa pili
ReplyDeletePipa la hivi linapatikana wapi?
ReplyDeletePipa zinapatikana Langley Park, MD au kama unaishi DMV piga simu kati ya hizo kwenye tangazo utaletewa Pipa nyumbani kwa $45 Asante
ReplyDeleteJe kuna limit ya uzito wa vitu au ni kwamba mzigo ukitosha ndani ya pipa unasafirishwa regardless ya uzito?
ReplyDeleteJe toka fagio la Magufuli limepita bandarini mshawahi kutoa mzigo? Samahani kwa swali hili ni kutaka kujua kama tutahitajika kuongeza hela hapo baadae.
Limit ya uzito kwa pipa ni less than 150lbs kutokana na hili tangazo. Kumbuka, hii bei imetoka na kudhaminiwa na Kilimanjaro Studio ikishirikiana na AllAfrika Travel & Logistics, wakala wa kusafirisha.
ReplyDeleteKwa maelezo zaidi, wapigie.
swali jamani kwa anaejua huku UK wanaosafirisha kama hivyo pipa, naomba mtuwekee number yao tafadhali, natanguliza shukrani
ReplyDeleteNamba ni 301 335 6383 utapata muhusika.
ReplyDeleteSwali. ..hawa ndio waliokua na tatizo mwaka jana vitu vikachukua miezi zaidi ya 6 kwa waliotumiwa Tanzania kuvipata. Na vyangu vilikuwepo.
ReplyDeleteAnon Dec 26 at 1.50pm hili ni swali au comment. Kama mzigo wako ulikuwepo unashindwaje kujua company gani ulitumia? Anyways Tusubiri wenyewe wajibu.
ReplyDeleteJe naweza kusafirsha TV, ambayo haitoshi kwenye pipa?
ReplyDeletewatanzania achene usanii pigeni no si hio mmepewa kha!kuandika comment inatake muda kuliko kupiga simu.
ReplyDeleteAnonymous Dec 28th @2:39am. => The prices for TV are different. I too don't think TV will go inside the barrel anyway. Call us for prices if you wish to ship or air cargo one.
ReplyDeleteAdditional info:
Our records stands, we average about 6 weeks to get goods to Tanzania from Germantown, Maryland if we ship. By air, just less than 7 days to arrive in Tanzania.
Asante AllAfrika kwanza TV haitakiwi kulazwa. Tunaomba utuandalie tena trip nyingine kama hii kipindi. Asante.
ReplyDeleteThis price is very reasonable. Whenever you have promotions like this, advertising in this blog please. Thank you.
ReplyDeleteJamani mtuongezee tena mda wa kulipa dola 180 mtufanyie mpaka mwezi wa pili mwishoni.
ReplyDelete