Saturday, January 23, 2016

Miss Shepu Bomba na Risasi Jumamosi


Khadija Mngazija.

Latifa Omary.

Mariam Nasibu.

Tunu Mwansembo.

Winfrida Musa.

TAYARI shindano limeanza kukolea, washiriki sita ambao picha zao ziliwekwa katika ukurasa huu wiki iliyopita, watatu wamebahatika kuvuka na kuingia raundi nyingine na wengine kutolewa.

Waliofanikiwa kuvuka ni Neema Richard, Mary Mchunguzi na Safina Iddi.
Kama ilivyokuwa wiki iliyopita, tumekuwekea picha sita za warembo wetu wapya, unachotakiwa kufanya ni kupiga kura kwa kuandika TOKA ikifuatiwa na jina la mtu anayetakiwa kutoka kisha tuma kwenda namba 0718069269.

Kwa wewe unayetaka kushiriki, tuma picha yako bora, yenye mvuto, upige sehemu yenye mwanga, ionekane vizuri kisha tuma kwenda namba hiyo hapo juu.

Kumbuka kwamba mshindi wa shindano hili atapata tiketi ya kwenda Dubai kufanya shopping, wa pili atajinyakulia milioni moja na wa tatu laki tano. Unasubiri nini sasa? Tuma picha zako tano, inawezekana mshindi ukawa wewe.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake