Friday, January 22, 2016

MSIBA DMV NA TANZANIA

Lazaro Mwasubila enzi uhai wake

Familia ya Teddy na Galus Bohella inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa mzee Lazaro Mwasubila( baba yake Teddy) kilichotokea huko mbeya Jana tarehe 21 January 2016. 

Msiba upo 
3901 Suitland rd apt 1506 
Suitland MD 20746. 

Kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ndio ustaarabu wetuukipata nafasi tujumuike pamoja na kuwafariji wafiwa.

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na 
Contact. Teddy 3014555524
Galus 2404928840

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake