Tawi la CCM NY na Vitongoji vyake linasikitika kutangaza kifo cha mama mzazi wa kada mwenzetu Rehema Omary wa Springfield. MA kilichotokea tarehe 13 /01/2016 huko Dar-Es-Salaam na mazishi kufanyika tarehe 14, Innalilah Wainnailaihi.
Ukitaka kumpa pole mfiwa unaweza kupigia kupitia number hii.
#4133147678
1 comment:
INNALILAHI WAINNAILAIHI RAJIUN
Post a Comment