Capitol Heights, Maryland inavyoonekana katika picha tulizotumiwa na mdau dada Joyce Mwombela theluji iliyoanguka usiku wa kuamkia Jumamosi Januari 23, 2016 iliyokua na urefu wa futi 2 na inchi 8 Picha ikionyesha uani kunavyoonekana.
Upande wa mbele wa nyumba unavyoonekana.
Sehemu nyingine kwa mbele inavyoonekana.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake