Licha ya kuvunjiwa nyumba zao na serikali kutoka na kujengwa sehemu hatarishe Wakazi wa Bonde la Mkwajuni wagoma kuondoka na kuendelea kujibanza kwenye viota hivi unavyoviona jiulizea choo wapi na kuoga je au muda wakutengeneza watoto inakuwaje?. Na watoto wao wanajisikiaje pale wanavyooenda shule wakitokea kwenye mazingira haya je mtoto huyo huko shule mwalimu anamwelewa kweli na akikua history ya maisha yake si itakuwa kama movie au atakuwa na chuki na serikali yake mwanzo mwisho.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake