Raia wa Ujerumani (kulia) ambayejinalake halikupatikana maramoja, ametiwa na mbaroni na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kutaka kuitoro familia yake katika Hoteli ya Cate Dar es Salaam. Raia huyo alikuwa nchini na mkewe mwenye asili ya Afrika katika kipindi cha msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Alijaribu kumtoroka mkewe na mtoto (4) na kuwaacha wakidaiwa deni la sh. 315,000 baada ya kuzuka ugomvi baina yao. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Raia wa Ujerumani huyo akitaka kuruka toka katika Gari
Mke wa Raia wa Ujerumani wa pili kulia akiwa anaingia katika Gari kuelekea katika Kituo cha Polisi cha Msimbazi Dar es Salaam na wapili kulia ni kaka wa mwanamke wa Raia wa Ujerumani
Wananchi wakifatilia kwa karibu
6 comments:
Polisi wamekosa kazi kwa kweli wanahitaji training ya hali ya juu hii si kesi ya kupeleka jeshi zima la polisi
Lini polisi watauza haya ma 4x4 yakuendeshwa porini wanunue magari madogo ? Mtoto mdogo anapandishwa nyuma ya land rover ?
Bongo watu wengi wametelekeza familia zao na hatuoni mitandaoni wala magazetini au kwa vile ni mzungu?
Wewe unayesema eti siyo kesi ya kupeleka au kuja polisi wengi USA huwa wanafanyaje?Kosa dogo tu,magari ya polisi,Ambulance na zima moto na kuongeza na secret service people around.Acheni kuifanya nchi yenu au bara lenu kama hawafahamu wanayotenda.Kuhusu mtoto kupanda nyuma ya gari kweli hapo ni sawa,angeweza kuingizwa mbele angalau kutomsababishia madhara kama shida ikitokea.Ila kuhusu kuuza magari,those cars are typically designed for Africa and particularly to the types of crimes, environment etc.Hivyo, kutumia mazda au mengine ya luxury kama hapa USA, utasababisha madhara makubwa.
Kwanini wanawapandisha ma karandinga kwa laki 3-4 tu. Mbona wangeelewana tu hapo hotels. Sidhani kama hawana hizo laki 3-4 jamani! Mambo ya luaibishana tu haya.
Marekani Kuna emergency na non emergency number sio kila tukio fire,ambulance etc na ukitumia emergency number kwa tukio kama hilo utatozwa faini au jela
Post a Comment