Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri
Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2016. Kulia kwake ni Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe
Kassim Majaliwa. Picha na IKULU.
No comments:
Post a Comment