Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mkuu wa Majeshi Nchini Jenerali Davis Mwamunyange wakati alipowasili katika chuo cha Maafisa wa Kijeshi Monduli
Mkoani Arusha kwa ajili ya kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa Jeshi kwa cheo
cha Luteni Usu, anayetazama katikati ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali Paulo
Peter Massao.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akipungia mkono wananchi wakati akiwasili kwenye viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya
Kijeshi Monduli kwa ajili ya kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa jeshi kwa
cheo cha Luteni Usu.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa wimbo wa Taifa kabla ya kutunuku Kamisheni
kwa Maafisa wapya wa Jeshi katika viwanja vya Chuo hicho.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akikagua gwaride kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
gwaride lililokuwa likipita mbele yake kutoa heshima.
Gwaride la Wahitimu likipita kutoa heshima mbele ya mgeni
rasmi Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli .
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli Meja
Generali Paulo Peter Massao.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpa
zawadi mmoja wa wanafunzi aliyefanya vizuri O/Cdt. Mmang’anda katika Mafunzo hayo.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wapya hawapo pichani .
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisoma jarida la Ngome baada ya kukamilika zoezi la
kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya wa Jeshi.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na maafisa wapya
aliowatunuku Kamisheni pamoja na viongozi wa ngazi za juu wa Jeshi la Wananchi.
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na watoto waliofika kushuhudia tukio
hilo la kuwatunuku Kamisheni Maafisa Wapya wa Jeshi. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake