Saturday, January 23, 2016

YAMOTO BAND WATENGENEZA VIDEO YA KIBAO KIPYA CHA MAMA MJINI TANGA

Yamoto Band waliweka Kambi ya Siku 3 katika jiji la Tanga wakiwa wanashoot video ya wimbo wao Mpya ambao unaitwa MAMA na Director Pablo, Video ya wimbo huo inatarajiwa kuachiwa mapema wiki ijayo. 
Kiongozi wa Yamoto Band Aslay amesema kuwa wameamua kwenda kufanya Video hiyo Tanga ili Kubadirisha Mazingira na pia kuleta Utofauti na Video zingine ambazo tayari wameshazifanya.
 Lakini pia aliwaomba mashabiki kupokea kazi hiyo ambayo inatoka hivi Karibu kwani niwimbo Mzuri wenye maneno mazuri kuhusu Mama maana kila mmoja amezaliwa na Mama.










No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake