Kikwete: Raisi mimi nimekuja kukuletea wazo moja kubwa,
Magufuli: Ndiyo mweshimiwa ,wazo lipi hilo?
Kikwete: Unajuwa wewe umebobea kwenye mambo ya ndani ya nchi,mimi ni mkongwe wa mambo ya nje,sasa kwa nini tusiungane ,mimi nikushikie kazi zako za mataifa ya nje .
Kikwete:Maana itakuwa kama timu yenye washambuliaji Ronaldo na Mesi pamoja.
Magufuli: Hilo ni wazo zuri sana,nalikubali bila kikwazo chochote…lakini nina pendekezo moja.
Kikwete: Hahaaaa…nashukuru kwa kuliunga mkono wazo langu….pendekezo gani ulilo nalo?
Magufuli : Ukisafiri nje kuiwakilisha serikali yangu ,ujilipie gharama zote kutoka mfukoni kwako.
DUUUUUUUU,hii kali,JK anamisi kusafiri
ReplyDeleteha ha haaaaa dah watu bana
ReplyDelete