Monday, January 11, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI WA CUBA NCHINI- MHE. JORGW LUIS LOPEZ TORMO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Cuba nchini, Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo, kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es slaam Januari 11, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Cuba nchini, Mhe. Jorge Luis Lopez Tormo, ofisini kwake jijini Dar es slaam Januari 11, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake