ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 15, 2016

Agizo la Rais Magufuli Latekelezwa Muhimbili

1 comment:

Anonymous said...

Asante kwa taarifa. Haya majukumu kusema ukweli hayakutakiwa kuanzia kwa JPM waTanzania tunaweza kuona ni jinsi gani viongozi wasipotekeleza majukumu yao na hasa katika awamu zilizopita. Maana ya kuwa kiongozi ni kuwashughulikia waliokuamini na kukupa dhamana ya kuwaongoza! Lakini tulikuwa tunaona jinsi gani matumizi mabaya ya fedha yalivyokuwa yanatumika na viongozi kukaa ofisini kulete3w2a taarifa ambazo zilikuwa za uongo. Ni vyema kila kiongozi kuanzia tarafani hadi juu kabisa wawajibike na kuwajibika kwao kusingeweza kuleta matatizo kwa wananchi kama maji machafu mitaani, takataka, huduma za barabara ambazo wananchfi wanaweza kuatia shime kwa kuunganishana mtaa hadi mtaa! badala ya siku za mapumziko na weekend kushinda bar au kwenye site zenu walau itengwe siku moja kila mwezi kutekeleza hayo. Tuna wafanya biashar lukuki kila mtaa hivyo kwamba wakiamriwa kutoa shillingi 1000 kila mwezi pia zingelisaidia kuweka maendeo safi na kutengeneza hata shule na barabara hasa pale mvua zinapoanza kuneysaha kutafakari mahali pa kutengeneza na kuweka njia za kupitia maji mengi! Tunayaona kila siku wakati watu wamejenga majengo mazuri tu pembezoni mwa vijiji na miji mbona miundo mbinu mibovu kupindukia? Viongozi wawajibike na ndio hata wananchi watakubali kushirikiana hata kuchangia. Mbona tunachangia Harusi mamilioni kila weekend lazima nderemo ziwepo mjini! Tuane pia kupunguza gharama za harusi kwani haziwasaidii hata wahusika wakati wakimaliza wanaendelea kuishi maisha magumu.
Utekelezaji huu unaofanywa ni wa kupongezwa na uendelee hivyo kwani hata kablaya uchaguzi na hata sasa, wapinzani wamechangia kwa asilimia kubwa kuyaleta mabadiliko haya ambayo ndiyo yaliyokuwa yanasemewa kila siku na tuliona jinsi gani kule bungeni wallivyoishikisha bunge na serikali kwa maswali na changamoto kubwa! Upinzani uendelee kabisa na wala wasikate tamaa ya lkuleta changamoto hadi watapoweza kukamata dola. Mungu ibariki Tanania na watu wake wapate neema walau kidogo!1