Advertisements

Tuesday, February 9, 2016

Chadema yahoji utendaji kazi wa Rais Dk Magufuli

4 comments:

Anonymous said...

wewe ndio unatakiwa urudie mtihani wa form four!!! akili zako zimejaa maji, ni kitu kidogo sana, raisi amesema hukumu zitolewe mapema, katika hukumu kuna kukutwa na hatia na kutokua na hatia, vyote ni hukumu, wasio na hatia basi hukumu yao waachiwe waendelee na shughuli zao, wenye hatia nao hukumu yao itolewe ili kesi ziishe, kitu gani ambacho unapotosha watu wewe, na mtakoma 2020 siwapi kula yangu nimengundua nyie ni watu wa kwenda milembe hospital.

Anonymous said...

Ukiwa rais Africa hata ukinya watu watatawaza ili mradi wategemee kupata cheo kwako
Kwani rais ni Nani kuna rais duniani Kama Kama Obama mbona watu wanamkosoa sembuse kiji magufuli

Anonymous said...

kwa ushauri wangu mbowe abadilishe mtu huyu kaka anaongea kama anaharisha,yaani anakurupuka sana kama nape

Anonymous said...

Fungukeni jamani!