Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba akiskiliza kwa makini ujumbe uliomtembelea Ofisini kwake toka Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba akizungumza na ujumbe uliomtembelea Ofisini kwake kutoka Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania.
3 comments:
Hon Makamba,I doubt if it is appropriate kukunja miguu ukiwa na wageni rasmi, It is actually considered a rude gesture.
Is this not dangerous kuweka umeme hapo. Looks hatari for me.
Obama anakunja miguu kwa style hiyox2,au ni rude wa waaafrica tu..?
Post a Comment