Thursday, March 3, 2016

DONDOO ZA MAGAZETI

1 comment:

Anonymous said...

Tanzania iliyojaa usanii! Mwanasheria hakusoma zuio kama ni halali sasa kwanini alilipeleka ili lizuie mkutano??? Hawa ndiyo wanasheria wetu waliofikisha nchi mahali hapa ilipo kwa kupitisha mikataba mibovu kwa sababu tu wameshindwa kusoma....je kuandika mikataba itakuwaje? Huyo Mmbando alijua kabisa kuwa anachofanya ni feki, huyo ni kiongozi serikali ambao tunaambiwa hawajishughulishi na itikadi ya chama chochote, anachofanya yeye na polisi hao ni kukandamiza demokrasia kwa nguvu yoyote ile. Huyu mama hakupigwa wala kuguswa na mtu yeyote ila walinyang'anyana hilo karatasi la feki la zuio la mahakama akakosa balance akaanguka....leo CCM na serikali yake na waziri kondakta wa daladala asiyejua analofanya wanasema amepigwa na watu saba (7)...kwa idadi ya watu waliompiga angepona kweli? Yapo wapi hayo majeraha au hata hizo alama, mbona hamtuonyeshi?? Tunajua alama na majeraha ya kupigwa au kama ni ndani ya mwili zipo wapi hizo x-rays pictures? Sijui lini tutakuwa na demokrasia nchi hii, kila kitu kulazimisha tu, kufoji mchana kweupe bila haya. Sishangai waafrika tunadharaulika kwa sababu ya vijimambo vidogo vidogo ambavyo hakuna hata maana ya kufoji......Kuna mwenye akili timamu ambaye hajui uchaguzi wa meya chama gani kitashinda? Au asiyejua kuwa Zanzibar CCM kilishindwa na kimeamua kuvuruga uchaguzi??? Wapo watu mishipa yao ya aibu ilishakatika muda tu, sasa wanafanya wayafanyayo wanyama.