Washiriki wa mbio za Km 10 upande wa walemavu wakijiandaa kushiriki mbio hizo zinazodhaminiwa na kampuni ya GAPCO.
Mshindi wa kwanza kwa upande wa wanaume katika mbio za Kimataifa za
Kilimanjaro Marathoni kwa kutumia kiti chenye magurudumu ya kusukuma kwa
mikonoo kwa upande wa walemavu,Vosta Peter akihitimisha mbio hizo
zilizodhaminiwa na kkampuni ya GAPCO katika uwanja wa chuo kikuu cha
Ushirika mjini Moshi.
Mshindi wa kwanza kwa upande wa wanawake katika mbio za Kimataifa za
Kilimanjaro Marathoni kwa kutumia kiti chenye magurudumu ya kusukuma kwa
mikono kwa upande wa walemavu,Linda Macha akihitimisha mbio hizo
zilizodhaminiwa na kampuni ya GAPCO katika uwanja wa chuo kikuu cha
Ushirika mjini Moshi.
Washiriki wengine wa mbio hizo wakihitimisha katika uwanja wa chuo kikuu cha Ushirika.
Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Raymond Mboya akimkabidhi Mshindi wa
kwanza kwa upande wa wanawake katika mbio za Kimataifa za Kilimanjaro
Marathoni kwa kutumia kiti chenye magurudumu ya kusukuma kwa mikonoo kwa
upande wa walemavu,Linda Macha mfano wa hundi ya kiasi cha shilingi
Miioni moja kutoka kwa wadhamini wa mbio hizo kampuni ya GAPCO.
Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Raymond Mboya akimkabidhi Mshindi wa
kwanza kwa upande wa wanaume katika mbio za Kimataifa za Kilimanjaro
Marathoni kwa kutumia kiti chenye magurudumu ya kusukuma kwa mikonoo kwa
upande wa walemavu,Vosta Peter mfano wa hundi ya kiasi cha shilingi
Miioni moja kutoka kwa wadhamini wa mbio hizo kampuni ya GAPCO.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment