Hapa Dr Temba akiangalia machine ya kutengenezea . Company nyingi kutoka nchi mbalimbali walitumia fursa hii kuja kuonyesha machine zao na pia samaki wanaopatika katika nchi zao na ubora wake. Temba Engineering Services ni moja ya company inayotengezea machine ya kukaushia samaki hao na kuwa bora kwa matumizi ya kitoweo. Maonyesho hayo yalijulikana kama
The Seafood Expo North America and Seafood Processing na yalifanyika Boston Convention & Exhibition Center.
Hii pia ni machine ya kutengeneza barafu kwani barafu ni muhimu sana kwa kuifadhia samaki baada ya kuvuliwa na kabla ya kuwaandaa kwa ajili ya kitoweo.
Samaki aina ya Salmon baada ya kukaushwa na kuwa tayari kwa chakula. Samaki wakiwa juu ya barafu kabla ya kuandaliwa kwa ajili ya kitoweo. |
Hapa Dr Temba akipata ukodak na wa Africa wenye asili ya Somalia nao walikuja kujifunza mambo mbali mbali yalikuwa yanaendelea kwenye maonesho hayo. |
Hapa ni wa Africa wengine mmoja ni bwana Benjamin kutoka Cameroon na Issa kutoka Mali. |
Kwa picha zaidi tembelea hapa http://tembaphoto.com/
No comments:
Post a Comment