TPDF mnatutia aibu; kuweni security-sensitive. Kwa nini Jeshi litumie yahoo.co.uk email account? Usalama wa hiyo server uko mikononi mwenu? Ina maana Jeshini hakuna wataalamu wa cybersecurity wanaoliona hili kama tatizo la national security?
Pia ushauri wangu naomba muepuke kuweka. E-mail address , pia swala la kuajiri wataalam wa mawasiliano au ujenzi wa aina yeyote katika kambi zenu epukeni ,EPUKENI watu wa nje ya nchi na kama itabidi basi wasitumie simu au camera wakkiwa kazini na wawekewe ulinzi mwanzo hadi mwisho.

Wanakana tuhuma hata hawajapata majibu ya uvhunguzi? Hawa TPDF wahuni. Sishangai tuhuma zinazowakabili. Si niwalewale tunaoishi nao sisi wananchi? Tuhakikishe uchunguzi huru kisha tuone majibu. Huku mitaani wanafukuzia wanawake kila siku, itakuwa huko maporini? Nashauri tufanye uchunguzi kabla ya kukanusha.
4 comments:

Post a Comment