ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 10, 2016

KWETU FASHION YAFANYA ONESHO KWENYE USIKU WA AFRIKA CHUO KIKUU CHA GEORGE MASON, VIRGINIA

Missy Temeke (kati) mbunifu wa mitindo ya Kwetu Fashion akipata picha na model wake kwenye usiku wa Afrika uliofanyika chuo kikuu cha George Mason Virginia nchini Marekani siku ya Ijumaa April 8, 2016.
 
Walimbwende wakiwa katika picha ya pamoja.
Picha ya pamoja kabla ya onesho.

No comments: