ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, April 12, 2016

Soko la Kayanga wilayani Karagwe laungua moto, Zimamoto watoka Bukoba kuzima moto


Soko la Kayanga wilaya ya Karagwe limeungua lote. Zimamoto kutoka Bukoba mjini ndio wamefika na kuanza kuzima moto.
- Moto umedhibitiwa kwa ushirikiano wa fire kutoka Bukoba na Kiwanda cha Sukari Kagera. Moto ulikuwa umeanza kusambaa kwenye maduka jirani na soko.
Haya ni masikitiko makubwa kwa viongozi wa wilaya kubwa kama hii kukosa gari la zima moto na vifaa vingine vya uokozi.Inabidi tufike sehemu serikali nayo iache kupendelea baadhi ya mikoa.Mikoa na wilaya zote zina wananchi wanaohitaji huduma sawa.

Sasa ona wilaya inakosa gari la zima moto wakati mkoa mwingine kuna magari mpaka taabu japokuwa nayo magumashi.

No comments: