ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 9, 2016

YANGA YATOKA SARE NA AL ALHY YA MISRI 1-1

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akiwatoka wachezaji wa Al Alhy ya Misri katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1. (Picha na Francis Dande)
 Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akiwatoka wachezaji wa Al Alhy ya Misri katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
 Mashabiki wa Misri wakishangilia timu yao.
 Deus Kaseke akiwatoka walinzi wa Al Ahly.
Beki wa Yanga, Juma Abdul  akiwatoka mabeki ya Al Ahly wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1.



1 comment:

Anonymous said...

Ingekuwa vuzuri kama ungetueleza kwa kifupi mchezo ulivyokuwa na nani wafungaji badala ya kutuonyesha picha za mikogo.