Sunday, May 22, 2016

BASI LA LEO LUXURY COACH LAGONGANA NA FUSO ENEO LA MANYONI, DEREVA WA FUSO AFARIKI DUNIA

Basi la Leo Luxury Coach limepata ajali ya kugongana na fuso hapa Manyoni, dereva wa fuso amefariki. Abiria wa basi wote wazima, inasemekana fuso lilikosa breki wakati likishuka mlima. 
Sehemu hii ilipotokea ajali hii inatwa Mbwasa chini ya mlima Sukamahela kuna mteremko mkali na kona kali kama inavyoonekana na mara nyingi madereva wakishamaliza mlima wakiwa wanateremka hua wanaachia breki bila kujali kona ya hapo. 

Baadhi ya abiria waliokuwa kwenye basi ilo wakiwasiliana na ndugu na jamaa yao
Fuso likiwa limetumbukia bondeni

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake