Briana kagemuro amejipatia ushindi mnono kwa mpira wa TennisSingles kwa wasichana wenye umri wa chini ya miaka 12 (Twelve and under) ulio andaliwa na shirikisho la mpira wa Tennis Marekani USTA Jumammosi May 14. Mpambano huo Junior Open # 5 BG (12-18)s FMLC # L 6 ulifanyika katika viwanja vya SE Tennis-Mjini Washington, DC. Mtoto Briana alichukuwa kombe kwa kuwabwaga wapinzani wake katika fainali ambapo alimfunga Amira Maliki Bao 6-1,6-3 napia kumbwaga Asha Verma kwa bao 6-1,6-2.
Pichani KageBriana akiwa na Kombe lake la Ushindi.
1 comment:
Hongera sana mwanangu!!
Nina uhakika unaweza kufika mbali sana kwa kutumia kipaji hicho.
mwambie na Brian kwamba nawapenda sana.Mungu atawabariki mtafika mbali. Msisahau kusoma na nidhamu ndio vitu vitakavyo wafikisha kwenye ndoto zenu.
Projestus Rwegarulila
Post a Comment