Baadi ya wasamalia wema wakijaribu kuwaokoa abairia waliokuwa wamepanda gari aina ya DCM linalofanya safari zake kati ya Gongo la Mboto na Masaki jijini Dar es Salaam baada ya ya kupiduka leo mchana eneo la Kipawa Njia Panda ya Jet Lumo, Dar es salaam.
Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa ni kumkwepa mwendesha baiskeli. Watu kadhaa wanadaiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamelazwa katika hospitali za Amana na Muhimbili.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Gari hilo likitarajiwa kuvutwa kuondolewa eneo la tukio
No comments:
Post a Comment