Mshambuliaji wa Yanga, Matheo Anthony akishangilia bao la pili aliloifungia timu yake katika mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya GD Sagrada Esperanca uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0. (Picha na Francis Dande)
Benchi la ufundi la timu ya Yanga.
Msuva akimiliki mpira.
Simon Msuva akimtoka beki wa GD Sagrada Esperanca
Amissi Tambwe akiwania mpira na mchezaji wa GD Sagrada Esperanca, Manuel Sallo Conho.
Beki wa Yanga, Kelvin Yondani akimtoka Manuel Paulo Joao.
Kipa wa GD Sagrada Esperanca, Roadro Juan Da Semero akiokoa mpira.
Wachezaji wa Yanga wakibadilishana mawao na kocha wao.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo.
Malimi Busungu akipata matibabu baada ya kuumia uwanjani.
Matheo Anthony akishangilia na Simon Msuva baada ya kuipatia timu yake bao la pili.
No comments:
Post a Comment