JUKWAA LANGU kutoka Kwanza Production, Vijimambo Radio na Border Media Group. Kipindi kinachorushwa LIVE kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 11 kamili jioni (5:00pm) EST kwa saa za Marekani ya Mashariki.
JUKWAA LANGU ni kipindi kiinachozungumzia mambo mbalimbali yanayotokea Duniani ikiwemo maswala ya siasa na kuangalia mstakabali wa nchi yetu na kupata fursa ya kuongea na watu mbalimbali ndani na nje ya Marekani
Piga simu 240 454 0093 utuambie ni nini maoni yako kwa Tanzania uipendayo
Kipindi hiki kimeandaliwa na kurushwa LIVE na mtangazaji mahiri Mubelwa Bandio kupitia
Ama kwa aliye Marekani na Canada unaweza kutusikiliza kupitia 716 748 0086
USIKOSE KILA SIKU JUMATATU KATIKA KIPINDI CHA JUKWAA LANGU
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake