Monday, May 23, 2016

MTOTO YASINI ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Mtoto Yasin (kushoto) akisherehekea siku yake ya kuzaliwa siku ya Jumapili May 22, 2016 Hyattscille , Maryland. Mtoto Yasin sasa ni miaka 12,
Mtoto Yasini akiwa na watoto wenzake siku ya Jumampili May 22, 2016 alipokua akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake