ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 16, 2016

MABONDIA WA TANZANIA WAPIGWA PINI KUCHEZA JUNE 4 UWANJA WA TAIFA

Bondia Japhert Kaseba kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga na bondia Amour Mzungu wa Zanzibar siku ya june 4 mwaka uhu katika uwanja wa ndani wa taifa anaeshudia ni Katibu wa shilikiho la ngumi za kulipwa nchini Anton Rutta 

Bondia Jonas Segu kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa taifa atakapozxipiga na bondia kutoka nje wanaoshudia katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma na mwingine ni Hamisi Chala 

Bondia Mfaume Mfaume akisaini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 mwaka uhu na bondia kutoka nje ya nchi mbele ya Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto
Bondia Mfaume Mfaume akisaini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 mwaka uhu na bondia kutoka nje ya nchi mbele ya Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto 
Bondia Fadhili Majiha kulia akisaini mkataba wa kuzipiga na bondia kutoka nje siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma 

Na Mwandishi Wetu
MABONDIA wengine wa Tanzania wamepigwa pini kwa ajili ya kucheza mapambano ya kimataifa siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Mabondia hawo walisaini mkataba uho wa kuzipiga na mabondia kutoka nje ya nchi mbele ya Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta

waliosani kuzipiga na mabondia kutoka nje ya nchi wakiongozwa na Japhert Kaseba ataaezipiga na Amour Mzungu kutoka Zanzibar wengine wailio saini kuzipiga siku hiyo ni pamoja na

Mfaume Mfaume, Fadhili Majiha,jonas Segu, Alphonce Mchimiatumbo, Vicent Mbilinyi pamoja na Ashiraf Selemani kutoka Zanzibar ambaye nae atazipiga siku hiyo

Mipambano hiyo mingine ya kimataifa inaletwa na promota mkongwe nchini katika maswala ya mchezo wa masumbwi si mwingine bari ni Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga

siku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi mbalimbali kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi kutoka kwa kocha Rajabu Mhamila 'Super D' ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba sheria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo

No comments: