Advertisements

Friday, May 27, 2016

MAMBO YA BARABARANI HAYO

  Baadi ya wanananchi wa eneo la Mbezi Tangi Bovu washauriana ili kuitoa bajaji hiyo kwenye mtaro baada ya kutaka kumkwepa mwendesha baiskeli na kupelekea kutumbukia mtaroni leo asubuhi na hakuna mtu aliyejeruhiwa katika ajali hiyo.
   Baadhi ya wasamalia wema wakiitoa bajaj ndani ya mtaro.


No comments: