Advertisements

Friday, May 27, 2016

MEMORIAL WEEKEND BBQ MAY 28TH, 30 OVERHILL RD, MT VERNON. NY 10552 TANZANIA HOUSE


MEMORIAL WEEKEND BBQ MAY, 28TH  Kuanzia 4:30 PM Drinks Kisha Nyama 5:30-PM - 9:30-PM Address ya Sehemu ya Tukio ni hii hapa:

 (30 Overhill Rd Mount Vernon.)
NY 10552
 (Tanzania House) 
Kwa Maelezo zaidi kama unataka kuchangia chochote no#
.Vick...+1443-557-8034, 
Justin.#+1646-244-5120, na 
Roger.#+1347-235-7130.

 Kutakua na nyama choma, Beer, Machozi ya Mbuzi na Soft Drinks. Shughuri Hii imeandaliwa na  Vijana wa NYC Kwa kuchangishana kiasi cha pesa ili kufanikisha hili tukio.  Vijana wa NYC Wanawakaribisha wote hili kufurahi pamoja kwanye weekend hii ndefu ya Memorial usiwe mpweke kwani njoo uifanye siku yako kuwa Stress Free. Tunacho omba kutoka kwa yeyote atakae penda kuja anaweza kuchangia kiasi chochote kile au kama  anakinywaji cha aina yeyote kile basi anaweza kuleta kwani shughuri ni watu na watu wenyewe ndiyo wewe. Kutakuwa na DJ Meza akitushushia music wataratibu kiroho safi. Baada ya shughuri kwisha saa nne usiku kutakua na Old School pale Alamo mwendo wa dakika sifuri tu kutoka sehemu ya tukio.

 Nyama Choma zitakuwa zinachomwa na  Mzee Lukas Hapo kwenye vitaru vya Tanzania House, Mt Vernon NY. A,🍸🍹🍹🍷

No comments: