Ndege ya shirika la Egytian Air yenye namba 804 iliyokuwa ikitoka Paris kuelekea Cairo imepotea kwenye radar ikiwa na watu 66.
Ndege hiyo ilikuwa juu umbali wa futi 37,000 ilipopotea muda mfupi baada ya kuingia kwenye anga la Misri.
Jeshi la Misri limeanza msako na shughuli za uokozi kwenye eneo hilo.
No comments:
Post a Comment