Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Nchini Uingereza Mhe,Dkt.Asha Rose Migiro alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi ya leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Uingereza Mhe,Dkt.Asha Rose Migiro alipofika Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi
ya leo,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment