Advertisements

Sunday, May 22, 2016

TAMASHA LA MICHEZO YA VYUO VIKUU NA TAASISI ZA ELIMI YA JUU ZANZIBAR(ZAHILFE) LAZINDULIWA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akipiga mpira ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja Tarehe 21 Mei 2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Chuo cha Habari Zanzibar wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja  Tarehe 21 Mei 2016. (Picha na Ikulu) 

No comments: