Watalaam watatu kutoka wakala wa Jiolpjia Tanzania (GST) wamekuwa certified rasmi kama wakufunzi kwenye sekta ya madini katika nyanja ya utafiti wa madini kwa kutumia visawe mbali " APPLICATION OF REMOTE SENSING IN MINERAL EXPLORATION". Hii ni fahari kwa Tanzania na wadau wote wa nishati na madini nchini.
Pichani Watalaam hao wakiwa na wanafunzi wao kutoka taasisi ya JOGME.
No comments:
Post a Comment